Tuesday, July 12, 2016
ubunifu mpya wa kulea mtoto hata kama mama yake hayupo
ubunifu wa aina yake hata kama mama mtoto hayupo unavaa sula yake ya bandia na mtoto anaashumu mama ndio ananinyonyesha kazi inakua imeishia hapo jamani hii nikali sana hii imefanyika huko nchini japani kiboko hii
tecnorojia mpya kwa wezi wa sentimira
watu wameamua kuja na ubunifu mpya wa kudhibiti wezi wa sentimira kwa kufunga uzio wa nondo na kufuli juu hii imefanuyika bongo wabongo nao wezi wakale wapi ila poa sana hii nimeipeanda wezi by by
Biashara mpya ya wema sepetu mis tz 2006
wema sepetu kaja na biashara hii ya viatu vya chini chini kama ndala vyenye jina lake na kusema yeye anapenda sana viatu vifupi vya chini ndio maana amewaletea viatu hivi ambapo vitauzwa kwa bei ya sh 12000 jumla rejareja ni sh 15000 ni hatua nzuli kwa wadada wakibongo kuonesha utofauti kwenye tasnia anayofanya
Subscribe to:
Comments (Atom)