Monday, June 20, 2016
young d kufunguka j5 stay with us
david genzi young d amesema baada yakuonekana hana msimamo kwenye mziki hata maisha yake kawa mtu wakudhalilika kwenyea mitandao yakijamii bosi wake wazami max kamsema sana aaachane na madawa pombe bang madema wasio jua hata kuandika ajiweke kisanii sasa young d jumatano hii yupo tayari kufunguka mbele ya menejment mpya ambapo watu wamekua wakimuona zaidi na huyo mshikaji kwenye picha wakidai yeye ndie meneja mpya ngoja tusubili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment