Tuesday, July 12, 2016
Biashara mpya ya wema sepetu mis tz 2006
wema sepetu kaja na biashara hii ya viatu vya chini chini kama ndala vyenye jina lake na kusema yeye anapenda sana viatu vifupi vya chini ndio maana amewaletea viatu hivi ambapo vitauzwa kwa bei ya sh 12000 jumla rejareja ni sh 15000 ni hatua nzuli kwa wadada wakibongo kuonesha utofauti kwenye tasnia anayofanya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment