Social Icons

Monday, June 20, 2016

barnaba kuangukia kwenye hip hop

msanii huyo wa bongo fraver amesema mziki nihisia kwahiyo unapofili kufanya kitu kizuli aijalishi nichaaina gani mi naweza imba hata hip hop kama ikiwezekana akaongeza kwamba tushashuhudia lebo kadhaa zikisaini wasanii wanao imbaa stail moja kama wcb/ ally kiba/ tubadilike jamani tuwasaini nawasanii wa hip hop

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates