Social Icons

Thursday, August 18, 2016

hii ni movie ya mwisho kabla kinyambe ajafaliki dunia


tasnia ya comedi ilikumbwa na mzizimo mkubwa baaada ya kupotelewa na nguli wa komedi tanzani a kinyambe kitu kizuli  ni kwamba kuna mtu wa kushika mikoba yake n anawez akucheza kma yeye mtu huyo anaitwa bles kinyambe kwenye sinema hii ya MWEHU amecheza nae nakupa time uicheki uone kilichofanywa humu ndani comedi hii inazinduliwa tare 20 mwezi huu agast pale mbeya  baada y hapo itasambazwa kitaani lakini pia kama unaweza kusimamia mchongo wa kusambaza mcheki huyu jamaa au kama unahitaji kopi yako popote ulipo itakufikia tumia namba hii 0714405471

masanja ameoa kwa mbwembwe


agast 14 2016 kulikua na headlines kwenye sacial media zikiandika taarifa za masanja kufunga ndoa ukiachana na taarifa hiyo kingine ni pale kundi la ze orijino comedy walipoingia na nguo za kiaskali na taarifa za kiintelejinsia zililipoti siku moja bbaada ya hiuyo harusi nikwamba orijino comed wanatafutwa na polisi kwa kutuhumiwa kutumia vazi la kiaskali bila luhusa ya raisi

mzee yusuf amua kuachana na muziki wa taarab


mwanamuziki wa muziki wa taarab almaalufu kama mzee yusuf am mfarme ameachana na muziki wa taarab na kumludia mungu kwa kwenda msikitini kutoa tamko rasmi hataki nyimbo zake zipigwe na hataki kuitwa mfarme tena aitwe mzee yusuf tu

Monday, August 1, 2016

edwad lowasa ampongeza raisi magufuli kwamaamuzi magumu

mweshimiwa lowasa ampongeza raisi magufuli kwa uamuzi wake wa kuhamishia ofc za kiselikali dodoma amesema nimaamuzi ya busara na sana ofisi za kiselikali kua makao makuu ya nchi  na akasema ulikua mpango wa muda mrefu sana toka miaka ya sabini lakini hakukua na raisi alie weka msisitizo
 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates