Monday, August 1, 2016
edwad lowasa ampongeza raisi magufuli kwamaamuzi magumu
mweshimiwa lowasa ampongeza raisi magufuli kwa uamuzi wake wa kuhamishia ofc za kiselikali dodoma amesema nimaamuzi ya busara na sana ofisi za kiselikali kua makao makuu ya nchi na akasema ulikua mpango wa muda mrefu sana toka miaka ya sabini lakini hakukua na raisi alie weka msisitizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment