Social Icons

Friday, October 21, 2016

Dude arejea Tena bongo darsalam upya

Kulwa kikumba aka dude leo amefunguka live earadio kwenye shoo zao za kamatia Kitaa katika kipindi cha eadrive aliulizwa  na mtangazaji wa hiko kipindi bongo darsalam iliyokupa umalufu na kua shoo inayotazamwa na watu wengi hakipo Tena na unawambiaje shabiki zako akasema imekua kama exclusive natamka kwa Mara ya kwanza kipindi kinaludi hivi karibuni Sasa tupo kwenye shouting ya hiko kipindi  mtangazaji akauliza Tena nini kilisababisha ukaacha akasema TV haikua inalipa pesa za kujikim ila now tupo vizuli

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates