Social Icons

Friday, December 30, 2016

kwa nguo za harusi kiafrica zaid kutoka Ngosha design

Ukitaka hizi nguo Kwa kukodisha au kununua wasiliana nasi with 0652582501

Friday, October 21, 2016

Dude arejea Tena bongo darsalam upya

Kulwa kikumba aka dude leo amefunguka live earadio kwenye shoo zao za kamatia Kitaa katika kipindi cha eadrive aliulizwa  na mtangazaji wa hiko kipindi bongo darsalam iliyokupa umalufu na kua shoo inayotazamwa na watu wengi hakipo Tena na unawambiaje shabiki zako akasema imekua kama exclusive natamka kwa Mara ya kwanza kipindi kinaludi hivi karibuni Sasa tupo kwenye shouting ya hiko kipindi  mtangazaji akauliza Tena nini kilisababisha ukaacha akasema TV haikua inalipa pesa za kujikim ila now tupo vizuli

Sunday, October 16, 2016

Fashion ni kitu muhim Sana kwenye maisha yako

Njoo ngosha designer ayepo kongowe mbagala 0652582501 tumia hiyo kufika ofcn kwetu upate nguo Mbali mbali Harusi hata za kawaida

Wednesday, September 14, 2016

huyu nae wakuitwa ghacia nitatambulisha video yake leo sa nne usiku kwahiyo nina exclusive mbili leo get read for this joint aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


exclusive leo sa nne usiku kaa tayari kuangalia video mpya ya ghasia usiache kuoita humu leo hii ni hapa tu haijatambuliswa popote

wanaitwa t o classic kutoka daresalam tz na ngoma yao ya kidodose aa

sa tatu usiku ya leo takusogezeeni ngoma yao kidodose kwahiyo usiache kupitia blog hii muda huo ni exclusive kabisa

ANAITWA GHACI ANA NGOMA YAKE SINA STORY VIDEO

ni andergraund king anaitwa ghacia huyo dogo w bongo frouver hana menegmant kama utapenda kipaji chake  piga cm no 0652582501

Thursday, August 18, 2016

hii ni movie ya mwisho kabla kinyambe ajafaliki dunia


tasnia ya comedi ilikumbwa na mzizimo mkubwa baaada ya kupotelewa na nguli wa komedi tanzani a kinyambe kitu kizuli  ni kwamba kuna mtu wa kushika mikoba yake n anawez akucheza kma yeye mtu huyo anaitwa bles kinyambe kwenye sinema hii ya MWEHU amecheza nae nakupa time uicheki uone kilichofanywa humu ndani comedi hii inazinduliwa tare 20 mwezi huu agast pale mbeya  baada y hapo itasambazwa kitaani lakini pia kama unaweza kusimamia mchongo wa kusambaza mcheki huyu jamaa au kama unahitaji kopi yako popote ulipo itakufikia tumia namba hii 0714405471

masanja ameoa kwa mbwembwe


agast 14 2016 kulikua na headlines kwenye sacial media zikiandika taarifa za masanja kufunga ndoa ukiachana na taarifa hiyo kingine ni pale kundi la ze orijino comedy walipoingia na nguo za kiaskali na taarifa za kiintelejinsia zililipoti siku moja bbaada ya hiuyo harusi nikwamba orijino comed wanatafutwa na polisi kwa kutuhumiwa kutumia vazi la kiaskali bila luhusa ya raisi

mzee yusuf amua kuachana na muziki wa taarab


mwanamuziki wa muziki wa taarab almaalufu kama mzee yusuf am mfarme ameachana na muziki wa taarab na kumludia mungu kwa kwenda msikitini kutoa tamko rasmi hataki nyimbo zake zipigwe na hataki kuitwa mfarme tena aitwe mzee yusuf tu

Monday, August 1, 2016

edwad lowasa ampongeza raisi magufuli kwamaamuzi magumu

mweshimiwa lowasa ampongeza raisi magufuli kwa uamuzi wake wa kuhamishia ofc za kiselikali dodoma amesema nimaamuzi ya busara na sana ofisi za kiselikali kua makao makuu ya nchi  na akasema ulikua mpango wa muda mrefu sana toka miaka ya sabini lakini hakukua na raisi alie weka msisitizo

Tuesday, July 12, 2016

daktari feki anaswa morogoro akihudumia wagonjwa





jj mwaka na wenzie wanao fanya matibabu ya tiba asili kigaangoni






ubunifu mpya wa kulea mtoto hata kama mama yake hayupo

ubunifu wa aina yake hata kama mama mtoto hayupo unavaa sula yake ya bandia na  mtoto anaashumu mama ndio ananinyonyesha kazi inakua imeishia hapo jamani hii nikali sana hii imefanyika huko nchini japani kiboko hii

tecnorojia mpya kwa wezi wa sentimira

watu wameamua kuja na ubunifu mpya wa kudhibiti wezi wa sentimira kwa kufunga uzio wa nondo na kufuli juu hii imefanuyika bongo wabongo nao wezi wakale wapi ila poa sana hii nimeipeanda wezi by by

Biashara mpya ya wema sepetu mis tz 2006


wema sepetu kaja na biashara hii ya viatu vya chini chini kama ndala vyenye jina lake na kusema yeye anapenda sana viatu vifupi vya chini ndio maana amewaletea viatu hivi ambapo vitauzwa kwa bei ya sh 12000 jumla rejareja ni sh 15000 ni hatua nzuli kwa wadada wakibongo kuonesha utofauti kwenye tasnia anayofanya

Tuesday, June 28, 2016

richa ya kua marufu kiasi hiki lakini black cofee katake over bet awords

chibudi chibudee dangote bin lade simba zile shangwe za air port ziiiiiii this time around sisemi kwa ushabiki ila namasikitiko tena sana sana ila kwenye mchezo kuna kusinda nakushindwa jamaa kutoka south africa wakuitwa black cofee achukua tuzo hiyo ya best artist africa mwanangu diamondi uusikonde next time around yetu hiyo

ally nipishe new song

hii ni come back ya huyu kijana baada ya kutoka jela

Friday, June 24, 2016

papa wemba ft diamond chacun pour soi


mpoki adondoka kwenye tamasha la e fm wakitamgaza live viwanja vya mwembe yanga

june 24 /2016 headlines nyingine kwa mpoki baada ya kudodoka kwenye tamasha la efm live wakitangaza katika viwanja vya mwembe yanga bwana huyu wakati anaongea na wananchi alidondoka chini na kupoteza faham nakupelekwa hosptli lakini mpa muda wa sakumi na mbili jioni hali yake ilirejea vizuli nakuruhusiwa kwenda nyumbani kwake kigamboni

Thursday, June 23, 2016

richi mavoko from WCB Wsafi clasc baby


mira ft baba naji baraka da prince

hebu niambie nani katisha sana humu

DIAMOND KAPEWA HEADLINES MTV BASE

Ni jambo kubwa kwa kituo kikubwa kama MTV BASE kukupa headlines sasa hii diamondi kaipata leo pale kituo hiki kilipo ripoti  kua diamond anataraji mtoto wa pili kutoka kwa zali baadaya tipha comeng soon kababy kengine mmmmh mimi siweki coment

BET AWORDS DIAMOND LAZIMA NICHUKUE NGAO HIYO

Diamond platnum kwenye kategoli ya msanii bola wa afica BEST AFRICAN ARTIST  katika tuzo za BET zinazofanyika ,marekani wiki hii tumuombee dua kwa wingi hata kula pia. akizungumza na kiyuo hiki D amesema lazima niludi na tuzo hakuna mwingine

come back ya mb dog akiwa chini ya qs bandi


vanesa mdee kachagulwa kwenye tuzo za nigeria entertainment awards


mwanadada mwingine kwenye historia yamuzioki bongo vanesa mdee kachaguliwa kwenye kategoli ya AFRICAN FEMALE ARTIST kwa kibongo MSANII BORA WA KIKE AFRICA kwenye tuzo za NIGERIA ENTERTINMENT AWARDS ninafasi kubwa sana hiyo kwake hata kwetu kwenye kuitangaza nchi pia hata kuusogeza mziki wetu mabali   tutakupa update kila zitapo patikana

Wednesday, June 22, 2016

TID povu limemtoka bilnas nimwanangu nimemfunza mengi kwanini asinikumbuke

muimbaji wa bongo freva kitambo sana kwa gem miaka ya 2000 limemtoka povu la malalamiko kwa kijana wake bilnas mkali wa chaf pozi ligi ndogo na raha raha aliyo fanya na nazizi pamoja na tid mnyama bwana ti anasema haiwezekani dogo apige mtonyo kibao anisahau kiasi hicho hata laki tano kusema kaka zawadi ya matunda yako nashukulu hakuna kiukwerli inaniuma sana kuona dogo anasahau alipo toak mimi namchango mkubwa sana kwenye mziki wake kama %70 namwandikia mistar menrod njinsi yakupita kuwateka mashabiki pia nimefanya  kazi kubwa kumshawishi  nazizi mpaka kafanya nae kazi wakati huo hata ajulikani hayo maneno ya mnyama tid nitakuletea upande wa bilnas

Klasa za mbele kwenye magzeti ya leo wameandika hivi















 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates