Thursday, June 23, 2016
vanesa mdee kachagulwa kwenye tuzo za nigeria entertainment awards
mwanadada mwingine kwenye historia yamuzioki bongo vanesa mdee kachaguliwa kwenye kategoli ya AFRICAN FEMALE ARTIST kwa kibongo MSANII BORA WA KIKE AFRICA kwenye tuzo za NIGERIA ENTERTINMENT AWARDS ninafasi kubwa sana hiyo kwake hata kwetu kwenye kuitangaza nchi pia hata kuusogeza mziki wetu mabali tutakupa update kila zitapo patikana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment