Wednesday, June 22, 2016
TID povu limemtoka bilnas nimwanangu nimemfunza mengi kwanini asinikumbuke
muimbaji wa bongo freva kitambo sana kwa gem miaka ya 2000 limemtoka povu la malalamiko kwa kijana wake bilnas mkali wa chaf pozi ligi ndogo na raha raha aliyo fanya na nazizi pamoja na tid mnyama bwana ti anasema haiwezekani dogo apige mtonyo kibao anisahau kiasi hicho hata laki tano kusema kaka zawadi ya matunda yako nashukulu hakuna kiukwerli inaniuma sana kuona dogo anasahau alipo toak mimi namchango mkubwa sana kwenye mziki wake kama %70 namwandikia mistar menrod njinsi yakupita kuwateka mashabiki pia nimefanya kazi kubwa kumshawishi nazizi mpaka kafanya nae kazi wakati huo hata ajulikani hayo maneno ya mnyama tid nitakuletea upande wa bilnas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment