Social Icons

Monday, June 20, 2016

bajeti kwa tanesco rasmi imewekwa mezani bungeni bilion 13.7

naibu wa nishati namadini medard kalemani amejibu swali la mbunge viti maalum arusha catherine magige alie simama bungeni kuhoji tatizo la umeme kuwa kubwa katika mkoa wa arusha nilini serkali itatatua .naibu waziri amesema serikali imetenga kiasi cha shilingi bilion 13.7 kwa ajili ya tatizo hilo

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates