Wednesday, June 22, 2016
kutoka feli jijini dsm ukarabati wa pantoni kukamilika mwezi wa nane
wazili wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi prof makame mbalawa ameitaka kalakana ya kigamboni inayoshugulikia ukalabati wa pantoni kuawahi kumaliza ili kupunguza aza ya usafili kwa wakazi wa dsm mkulugenzi wea kalakana hiyo le khujan manase amesama kazi hiyo wamekabidhiwa TAMESA na mwezi wa nane zitakua zimekamilika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment