Monday, June 20, 2016
kadi zatolewa leo za mabasi ya udat au mwendo kasi
leo june 20 216 udat wametoa kadi za mabasi yaendayo kasi yanayo fanya kaziu kimala feli ambapo kadi hizo zimetolewa feli asubuhi nakuonesha kuhitajika zaidi mpaka wengine wamekosa namna zitavyo tumika una nunua kwa shil 500 nakinakua na vocha ya shiling 4500
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment