Tuesday, June 21, 2016
dongo kwa bongo fleva artist
muziki kwasasa nbiashara sio kama zamani maneno hayo aliseama mdau mmoja wa wamziki na meneja wa tht wasanii wazamani walishindawa kutoboa kwasababu yakulidhika kama mr nice bushoke juma nature walilidhika ila kwa sasa watu wananjaa kama mond bini ladeni ally kiba vanesa hao wana njaa zamani walio fanya vizuli mpaka leo ni mr blue prof j jide hao ndio hawakuridhka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment