Monday, June 20, 2016
kauli ya kutokua na mafuta ya taa yakutosha nchini imekanushwa na meneja wa petrol nchini gogwin samuel
june 20 2016 taarifa kubwa kwenye magazeti ni mafuta yataa kutokuwepo kwa wingi nchini sasa hapa tupo na meneja petrol nchini bwana godwini samuel anasema. kuna meli ishafika bandalini inamzigo wa lita milioni mbili na laki tano ambapo mafuta hayo yanauwezo wakukaa wiki mbili tasmini zianasema kwasiku tunatumia lita laki moja na ishilini nasita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment