Tuesday, June 21, 2016
mwingine tena kushitakiwa kwa kumtukana raisi magufuli whatsap baada ya yule assak abakuk waarusha ambapo alitakiwa kutoa faini ya milioni 7 na mchango ulifanyika wadau wakapata milion 4.5 sasa huyu mwingine kaingia kwenye headlines leo bwana leonad mlokoz kyaruzi ameshitakiwa kwa kusambaza maoni mitandaon kuhusiana na raisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment