Social Icons

Monday, June 20, 2016

mama huyu aenda pilisi kisa mtoto mwalabu heka heka

june 20 2016 mwandishi mmoja wakituo cha habari hapa nchini tz alilipoti tukio moja lamtaani kutoka buguluni dsm mama huyo alienda buguluni kumuangalia ndugu yake bahati mbaya hakumkuta nakuanza kumuulizia ndipo watu walianza kumzonga nakumuambia mtoto sio wakempaka ikafikia kwenda kwamjumbe baada ya mjumbe kupokea maeelezo aliwaambia hamjawahi kuona mbongo akizaa na mhindi ama mwalabu acheni ushamba alisema mjumbe mama wamtoto alidai kwenda polisi kufungua shitka kwakudharshwa

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates