Tuesday, June 21, 2016
gwajima ang'ang'aniwa na polisi
polisi kanda malum ya dalesalam imsema inaendelea kumtafuta askof mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima josephat gwajima kwa ajil ya kumhoji kuhusu maubili yake aliyotoa wiki iliyopita juni 11 tatizo kubwa alionekana kuukosoa utendaji kazi wa rais mstaaf jakaya kikwete nakuusifia utendaji kasi wa raisi magufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment