Tuesday, June 21, 2016
mambo yakufahamu baada ya kadi za udart kuanza kufanya kazi
mfumo huu umeanza kutumika june 20 mwaka huu ambapo mkurugenzi wa udart anasema unapo nunua kadi hii unabidi ujisajili kwa namba hii *152*22# ukipiga hiyo itakupa menyu yakuchagua neno dart hapo kama unajisajili utatakiwa kuingiza namba ya kadi ujazemajina yako utakua tayari kutumia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment