Social Icons

Wednesday, June 22, 2016

YOUNG D ALUDI MDB RECORD KWA BOSS WAKE MAX RIOBA

Msanii young d doud genzi paka lapa wa bongo hip hop tz leo katambulisha uongozi wake mpya ila ni ule ule wa zamani baaada yakuzinguana na bos weake max alikua pekeyake bila uongoz na kua na strees mara kwa mara mpaka kufikia kujiingiza kwenye madawa ya kulevya pombe bila kipimo na kua kama kapata uchizi lakini kwa sasa kaludi kwenye uongozi wake wa zamani MDB RECORD akiwa na afya na kaachana na mambo yote na yupo tayari kutililisha ngoma kali kutoka pale

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates