Wednesday, June 22, 2016
FURSA NYINGINE KWA WAJASILIA MALI TANZANIA NZIMA
Fursa kwa wajasilia mali wote tanzania mama samia suluhu ametoa mafunzo ya kijasilia mali kwa siku tatu kwa kinamama amewataka kinamama kutengeneza vikundi na kupatiwa mafunzo hayo ili kuwawezesha kupata mikopo kirahisi zaid hayo yote aliongea katika bwalo la jeshi la polisi mgulani jijini dae es salam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment