Wednesday, June 22, 2016
sijaja wcb kutafuta gali wala nyumba vyote ninavyo hapa kazi kwenda mbele
lengo kuu la kujiunga na wcb wasafi ni kutaka kutanua mziki wangu na kushilikiana kwa pamoja ili kufikia malengo bila kusuasua naamini kwenye lebo kuna motisha zaidi kutokana lebo inataka kutanuka kwa kusimamia wasaanii vizuli nami pia nataka kufanya kazi kwa nguvu ili kujiaminisha kwao kama nimekuja kwaajili ya kazi na si kuuza sula hayo nimaneno ya richi mavoko, kazi yangu ni kukusogezea tu zikipita karibu yangu pamoja mshikaji wangu DAM mmmh
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment