Social Icons

Tuesday, June 21, 2016

muhimbili kutoa chakula kwa wagonjwa kila siku

hospitali yaa taifa muhimbili imeboresha huduma kwa wagonjwa wote watao lazwa kuanzia julay 1 mwaka huu ili kupunguza gharama za ndugu wa wa wagonjwa kila siku kuleta chakula chakula hicho kitatolewa mara tatu kwa siku akizungumza na waandishi wa habari afsa habari wa hosptali hiyo. aminiel aligesha amesema kwa mgonjwa atachangia 50,000 ambapo 10,000 ni ya consultation 10,000 ya kulazwa na 30,000 yachakula ambapo atapewa chakula mala tatu kwa siku asubuhi mchana jioni

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates