Monday, June 20, 2016
ray c azungumza mengi baada ya kuchukuliwa na polisi
usiku wa jun 16 kuamkia jun 17 kuna video ya muimbaji wa bongo freva ray c ilisambaa mtandaoni na kila mmoja kuzungumza tofauti wanaosema kapata kichaa na mengine mengi hapa kuna mambo kadhaa nakupatia kutoka kwake 1 police wanasema hawakumkata ray bali walimchukua ili kumpeleka hospitari 2ray kapimwa hosptali hana kichaa na ana akili timamu kabisa 3 pia ray c kwa taarifa kapelekwa rihabu bagamoyo 4 rihabu aliyo aliyopelekwa ni ile aliyopelekwa chid benzi wiki 6 zilizo pita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment